Nyumba Inauzwa
Bei: 68 maongezi kidogo yapo
đź“Ť Ipo KILUVYA MPAKANI – Dar es salaam – Tanzania
▫️Vyumba Vitatu vya Kulala
Master Bedroom
▫️Sitting room
▫️Dining room
â—‡ Kitchen
▫️ Public toilet
▫️Ukubwa wa kiwanja: sqmt 750
â—‡document Sales agreement (Hati ya mauziano ya serikali za mitaa)
Kiwanja kimepimwa Hati miliki itatoka kwa Jina la mteja atakae nunua
â—‡ Maji safi umeme vyote vipo kwenye nyumba
â—‡Nyumba ipo kwenye barabara kuu ya mtaa
â—‡Ipo kwenye mtaa mzuri
â—‡Umbali kilomita (1) tu unatembea tu kwa mguu