APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA 200K
LOCATION: KIMARA SUKA
UMBALI KM 1.5
BODA 1000 MPAKA NYUMBANI
NI CHUMBA MASTER SEBULE NA JIKO LA OPEN KITCHEN
UMEME LUKU YAKO
MAJI MITA YAKO
MAFENI CHUMBANI NA SEBULENI
IPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG NI 15,000
KODI 200,000X6
BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA