APARTMENT NZURI MPYA YA KISASA INAPANGISHWA
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA SANA
SEBULE KUBWA SANA
JIKO KUBWA LA KISASA LINAWEKWA MAKABATI
PUBLIC TOILET
HEATER ZA MAJI MOTO NA MAJI BARIDI
LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
PARKING
💫💫 APARTMENT HII IPO MBEZI MWISHO UPANDE WA KULIA NJIA YA KUELEKEA MAKABE NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BAJAJI, DALADALA AU BODABODA