APARTMENT NZUR INAPANGISHWA NDANI YA FENSI
UMBALI WA KILOMETA (2,5) TOKA KIMARA MWISHO MWENDOKASS
USAFIRI WA UHAKIKA
BAJAJ 700/=
UKISHUKA UNATEMBEA DK (5)
INA VYUMBA (2) VYA KULALA SEBULE KUBWA
PUBLIC TOILET NDANI JIKO LA KISASA
TILES GYPSUM SLAIDING WINDOW
UMEME NA MAJI INAJITEGEMEA
NDANI YA FENSI PARKING KUBWA