NYUMBA YA KUPANGA KIMARA MWISHO(DSM)
*VYUMBA 2 VYA KULALA, SEBULE, JIKO, PUBLIC TOILET IPO NJE , MAJI DAWASA YANA FROW CHOONI NA JIKONI
*ZIKO 2 KATIKA COMPAUND MOJA, NA KILA MMOJA ANA JITEGEMEA LUKU, PARKNG SPACE KUBWA SANA
*NYUMBA IKO UMBALI WA KM.1 KUTOKA BARABARA YA MOROGORO ROAD KIMARA MWISHO BUS TERMINAL
*KODI NI TZS 250,000/= MALIPO MIEZI X 4,5,6